kwa sasa unaweza kuifanya project yako ionekane kwenye home page. Nenda kwenye dashboadr ya space kisha bofya kwewnye public kuna neno No, bofya hapo utajaza taarifa zinazotakiwa